Msahafu wa Kiswahili السواحيلي

Msahafu wa Kiswahili السواحيلي


Qurani tukufu kwa ya Kiswahili


Free

1.0.1for iPhone, iPad and more
MP3Quran
Developer
192.2 MB
Size
Apr 8, 2023
Update Date
Education
Category
4+
Age Rating
Age Rating
4+
Apps in this category do not contain restricted content.
9+
Apps in this category may contain mild or occasional cartoon, fantasy or real-life violence, as well as occasional or mild adult, sexually suggestive or horrifying content and may not be suitable for children under 9 years of age.
12+
Apps in this category may contain occasional mild indecent language, frequent or intense cartoon or real-life violence, minor or occasional adult or sexually suggestive material, and simulated gambling, and may be for children under 12 years of age.
17+
You must be at least 17 years old to access this App.
Apps in this category may contain frequent and intense offensive language; Frequent and intense cartoon, fantasy or realistic violence: frequent and intense adult, scary and sexually suggestive subjects: as well as sexual content, nudity, tobacco, alcohol and drugs, may not be suitable for children under 17 years of age.
Msahafu wa Kiswahili السواحيلي Screenshots
Msahafu wa Kiswahili السواحيلي posterMsahafu wa Kiswahili السواحيلي posterMsahafu wa Kiswahili السواحيلي posterMsahafu wa Kiswahili السواحيلي posterMsahafu wa Kiswahili السواحيلي posterMsahafu wa Kiswahili السواحيلي posterMsahafu wa Kiswahili السواحيلي posterMsahafu wa Kiswahili السواحيلي poster
Msahafu wa Kiswahili السواحيلي posterMsahafu wa Kiswahili السواحيلي posterMsahafu wa Kiswahili السواحيلي posterMsahafu wa Kiswahili السواحيلي posterMsahafu wa Kiswahili السواحيلي posterMsahafu wa Kiswahili السواحيلي posterMsahafu wa Kiswahili السواحيلي posterMsahafu wa Kiswahili السواحيلي poster

About Msahafu wa Kiswahili السواحيلي

Unaweza kupakua Programu na kuvinjari Qur'ani Tukufu pamoja na tafsiri (Hapa jina la lugha) kwa njia rahisi na nyepesi zaidi na kwa ubunifu mzuri wa kuvutia, uliobuniwa na wachoraji mahiri wa mapambo ya Qur'ani katika ulimwengu kwa muonekano wa kuvutia.

***Vipengele vya Apilikesheni***
- Wepesi wa kutumia ukurasa na imerahisishwa kwa kiwango cha hali ya juu.
- Utafutaji wa haraka zaidi, utafutaji katika aya za Qur'ani na katika majina ya sura na Juzuu.
- Kusoma Qur'ani, furahia kisomo cha Qur'ani Tukufu kutoka katika nakala iliyohakikiwa, iliyobuniwa kwa ubunifu mzuri na wa kuvutia.
- Tafsiri ya maana ya maneno ya Qur'ani Tukufu, ifahamu Qur'ani Tukufu kwa lugha yako kupitia tafsiri ya maana yake katika lugha ya Kiswahili
- Lugha mbali mbali, vinjari programu kwa lugha yako au kwa lugha unayopenda kuitumia katika Msahafu.
- Visomo, Kusikiliza kisomo cha Qur'ani Tukufu kwa sauti za wasomaji mashuhuri na wenye visomo vitamu.
- Kicheza sauti cha hali ya juu: Opereta inakupa uwezo wa hali ya juu, mfano kurudia rudia kwa ajili ya kukusaidia kuhifadhi Qur'ani Tukufu.


- Vituo: Kuongeza alama za marejeo na kuziongoza, kwa ajili ya wepesi wa kurejea katika sehemu za kusimama katika aya maalum.


- Vipendwa: Kuongeza idadi yoyote ya aya katika vipendwa, kwa ajili ya wepesi wa kuzirejea baadaye.


- Kuongeza maoni: Kuongeza maoni na mazingatio wakati wa kusoma Qur'ani, au kusoma tafsiri ya maana yake.


- Kushiriki: Kushiriki aya au maana yake kwa marafiki zako kupitia Apilikesheni na mitandao ya kijamii.


- Ubunifu wa kipekee: Imekamilika kuchagua rangi na mapambo ya kuvutia macho, na ubunifu wa kisasa ulionukuliwa kutoka katika tamaduni za wazungumzaji wa lugha ya Kiswahili

Designed and Developed by: https://smartech.online
Show More

What's New in the Latest Version 1.0.1

Last updated on Apr 8, 2023
Old Versions
Bug fixes
Show More
Version History
1.0.1
Apr 8, 2023
Bug fixes
1.0
Apr 4, 2023

Msahafu wa Kiswahili السواحيلي FAQ

Click here to learn how to download Msahafu wa Kiswahili السواحيلي in restricted country or region.
Check the following list to see the minimum requirements of Msahafu wa Kiswahili السواحيلي.
iPhone
Requires iOS 13.0 or later.
iPad
Requires iPadOS 13.0 or later.
iPod touch
Requires iOS 13.0 or later.
Msahafu wa Kiswahili السواحيلي supports English, Amharic, Arabic, Croatian, Danish, Dutch, German, Hausa, Japanese, Kannada, Polish, Portuguese, Rhaeto-Romance, Serbian, Swahili, Yoruba

Msahafu wa Kiswahili السواحيلي Alternative

You May Also Like

Get more from MP3Quran