Age Rating
Tenzi Za Rohoni スクリーンショット
About Tenzi Za Rohoni
Tenzi za Rohoni ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 161 kutoka katika kitabu cha Tenzi Za Rohoni kwa lugha ya Kiswahili.
Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote.
Sifa za program ni kama zifuatazo:-
• Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa
neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au maneno
yaliyo ndani ya wimbo.
• Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata
kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pale unapoona inafaa.
• Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (thanks to hymnserve.com for
the accompaniments).
• Inakuwezesha kucheza ala hata ukiwa haupo kwenye programu
• Inakuwezesha kuona wimbo namba unaocheza ala pindi uwapo kwenye nyimbo nyingine.
• Inakuwezesha kufahamu wimbo wa mwisho kutazamwa kwa kuuangazia rangi kwenye orodha.
• Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya
Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho.
Programu hii imeandaliwa na kutengenezwa na Justin Diva Bulenga kwa
utukufu wa Mungu.

Show More
最新バージョン 3.0 の更新情報
Last updated on 2024年05月17日
旧バージョン
-Imebadili muonekano
Show More
Version History
3.0
2024年05月17日
-Imebadili muonekano
2.9
2024年05月15日
-Imeboresha muonekano
-Imetatua changamoto ya menu bar kuingiliana na orodha kwa iPhone 14

2.8
2023年07月06日
-Imeboresha muonekano
-Imeongeza kubadili lugha ya programu kuwa kiingereza

2.7
2023年07月06日
-Badili lugha kiingereza/kiswahili .
-Buruza kulia au kushoto kuondoa wimbo pendwa, kwenye orodha ya nyimbo zote.

2.6
2023年07月02日
-Imeboresha muonekano
2.5
2023年07月01日
-Imeboresha muonekano
2.4
2023年06月28日
-Imebadili muonekano
2.3
2023年06月26日
-Imebadili muonekano.
2.2
2023年05月05日
Imeongeza kurasa ya nyimbo pendwa kwenye iWatch.
2.1
2023年04月20日
Imeongeza program ya Tenzi Za Rohoni kwenye Apple Watch (iWatch).
2.0
2023年04月20日
imeongeza program ya apple watch (iWatch).
1.7
2023年04月19日
Imesahihisha baadhi ya makosa ya kiuandishi
1.6
2022年05月19日
Improved iPad experience.
1.5
2022年05月16日
Imeboresha muonekano.
1.2
2022年02月26日
Imeongeza uwezo wa kuongeza au kupunguza ukubwa wa maneno kadri upendavyo.
1.1
2022年02月22日
• Inakuwezesha kuona wimbo namba unaocheza ala pindi uwapo kwenye nyimbo nyingine.
• Inakuwezesha kufahamu wimbo wa mwisho kutazamwa kwa kuuangazia rangi kwenye orodha.
• Inakuwezesha kufahamu wimbo wa mwisho kutazamwa kwa kuuangazia rangi kwenye orodha.
1.0
2022年02月19日
Tenzi Za Rohoni 価格
今日:
¥400
最低価格:
¥300
最高価格:
¥400
Tenzi Za Rohoni FAQ
ここをクリック!地理的に制限されているアプリのダウンロード方法をご参考ください。
次のリストをチェックして、Tenzi Za Rohoniの最低システム要件をご確認ください。
iPhone
iOS 15.2以降が必要です。
iPad
iPadOS 15.2以降が必要です。
Apple Watch
watchOS 9.1以降が必要です。
iPod touch
iOS 15.2以降が必要です。
Tenzi Za Rohoniは次の言語がサポートされています。 スワヒリ語, 英語