Sira ya Mtume (ya kuisoma) Katika Dakika Chache

Sira ya Mtume (ya kuisoma) Katika Dakika Chache



$0.99

1.0for iPhone, iPad
Age Rating
4+
Apps in this category do not contain restricted content.
9+
Apps in this category may contain mild or occasional cartoon, fantasy or real-life violence, as well as occasional or mild adult, sexually suggestive or horrifying content and may not be suitable for children under 9 years of age.
12+
Apps in this category may contain occasional mild indecent language, frequent or intense cartoon or real-life violence, minor or occasional adult or sexually suggestive material, and simulated gambling, and may be for children under 12 years of age.
17+
You must be at least 17 years old to access this App.
Apps in this category may contain frequent and intense offensive language; Frequent and intense cartoon, fantasy or realistic violence: frequent and intense adult, scary and sexually suggestive subjects: as well as sexual content, nudity, tobacco, alcohol and drugs, may not be suitable for children under 17 years of age.
Sira ya Mtume (ya kuisoma) Katika Dakika Chache 스크린 샷
Sira ya Mtume (ya kuisoma) Katika Dakika Chache 포스터Sira ya Mtume (ya kuisoma) Katika Dakika Chache 포스터Sira ya Mtume (ya kuisoma) Katika Dakika Chache 포스터Sira ya Mtume (ya kuisoma) Katika Dakika Chache 포스터
Sira ya Mtume (ya kuisoma) Katika Dakika Chache 포스터Sira ya Mtume (ya kuisoma) Katika Dakika Chache 포스터Sira ya Mtume (ya kuisoma) Katika Dakika Chache 포스터Sira ya Mtume (ya kuisoma) Katika Dakika Chache 포스터

About Sira ya Mtume (ya kuisoma) Katika Dakika Chache

Sira ya Mtume (ya kuisoma) katika dakika chache:
Sifa na vipengele vya kitabu
1. Kijitabu cha kwanza cha mfukonikinachohusu Sira ya
Mtume (S.A.W), ili kiwe pamoja nawe safariniau
nyumbani.
2. Ni Kijitabu kilicho chepesi kukibeba, kidogo, chenye
manufaa mengi, na maana makini.
3. Kijitabu hichi kimekusanya utukufu wa Sira, uzuri wa
mwendowa Mtume (S.A.W), Sunna iliyo safi sana, na
alama za mbinu zake.
4. Matini zake zimechaguliwa miongoni mwa mapokeo
mengi ili kufikia lengo kwa maneno machache.
5. Hakina mapokeo yasiyoaminika wala Hadithi dhaifu,
bali imetolewa kwa makini.
6. Utungaji wake umetegemea Qur‘ani na Hadithi za
Mtume (S.A.W) tu.
7. Kijitabu hichi kinachambua hadhi ya manabii na
heshima zao.
8. Kina maelezo mafupi kuhusu Nabii Ibrahim, Musa, na
Issa (A.S).
9. Kina matukio muhimusana ya Sira yake Mtume
(S.A.W).
6
10. Kina muhtasari wa sifa za Mtume (S.A.W), tabia zake
njema, na dalili za unabii wake.
11. Kina maelezo ya kijumla kuhusu nguzo za Uislamu,
misingi yake, na sheria zake.
12. Kina zaidi ya Aya300 za Qur‘ani na zaidi ya
Hadithi1100 za Mtume (S.A.W) .
13. Kina zaidi ya anuani 500.
14. Kina ufafanuzi wa maneno magumu, maeneo, na
makabila ambayo ni zaidi ya 430.
15. Kina zaidi ya Wahusika (100), na zaidi ya maeneo, na
makabila (200).
16. Kimeandaliwa katika mpangilio wa utaratibu wa
matukio kadiri iwezekanavyo.
17. Kimeandikwa kwa mtindo mwanana wa kifasihi, usio
wa kurefusha au kurudiarudia.
18. Kimeandikwa kwa kufuata kanuni za uandishi
unaokubalika.
19. Kimesomwa, kimepitiwa na kuhaririwa na zaidi ya
wanazuoni,maulamaana nawatafiti 30 waliobobea katika
nyanja hii.
20. Kimefasiriwa kwa zaidi ya lugha 25
Show More

최신 버전 1.0의 새로운 기능

Last updated on Jul 28, 2017
Version History
1.0
Jul 28, 2017

Sira ya Mtume (ya kuisoma) Katika Dakika Chache FAQ

제한된 국가 또는 지역에서 Sira ya Mtume (ya kuisoma) Katika Dakika Chache를 다운로드하는 방법을 알아보려면 여기를 클릭하십시오.
Sira ya Mtume (ya kuisoma) Katika Dakika Chache의 최소 요구 사항을 보려면 다음 목록을 확인하십시오.
iPhone
iPad
Sira ya Mtume (ya kuisoma) Katika Dakika Chache은 다음 언어를 지원합니다. English

Sira ya Mtume (ya kuisoma) Katika Dakika Chache 대안

당신은 또한 좋아할 수도 있습니다

Nasir alzahrani에서 더 많은 것을 얻기