Sira ya Mtume (ya kuisoma) Katika Dakika Chache

Sira ya Mtume (ya kuisoma) Katika Dakika Chache



$0.99

1.0for iPhone, iPad
Age Rating
4+
Apps in this category do not contain restricted content.
9+
Apps in this category may contain mild or occasional cartoon, fantasy or real-life violence, as well as occasional or mild adult, sexually suggestive or horrifying content and may not be suitable for children under 9 years of age.
12+
Apps in this category may contain occasional mild indecent language, frequent or intense cartoon or real-life violence, minor or occasional adult or sexually suggestive material, and simulated gambling, and may be for children under 12 years of age.
17+
You must be at least 17 years old to access this App.
Apps in this category may contain frequent and intense offensive language; Frequent and intense cartoon, fantasy or realistic violence: frequent and intense adult, scary and sexually suggestive subjects: as well as sexual content, nudity, tobacco, alcohol and drugs, may not be suitable for children under 17 years of age.
Sira ya Mtume (ya kuisoma) Katika Dakika Chache Screenshots
Sira ya Mtume (ya kuisoma) Katika Dakika Chache posterSira ya Mtume (ya kuisoma) Katika Dakika Chache posterSira ya Mtume (ya kuisoma) Katika Dakika Chache posterSira ya Mtume (ya kuisoma) Katika Dakika Chache poster
Sira ya Mtume (ya kuisoma) Katika Dakika Chache posterSira ya Mtume (ya kuisoma) Katika Dakika Chache posterSira ya Mtume (ya kuisoma) Katika Dakika Chache posterSira ya Mtume (ya kuisoma) Katika Dakika Chache poster

About Sira ya Mtume (ya kuisoma) Katika Dakika Chache

Sira ya Mtume (ya kuisoma) katika dakika chache:
Sifa na vipengele vya kitabu
1. Kijitabu cha kwanza cha mfukonikinachohusu Sira ya
Mtume (S.A.W), ili kiwe pamoja nawe safariniau
nyumbani.
2. Ni Kijitabu kilicho chepesi kukibeba, kidogo, chenye
manufaa mengi, na maana makini.
3. Kijitabu hichi kimekusanya utukufu wa Sira, uzuri wa
mwendowa Mtume (S.A.W), Sunna iliyo safi sana, na
alama za mbinu zake.
4. Matini zake zimechaguliwa miongoni mwa mapokeo
mengi ili kufikia lengo kwa maneno machache.
5. Hakina mapokeo yasiyoaminika wala Hadithi dhaifu,
bali imetolewa kwa makini.
6. Utungaji wake umetegemea Qur‘ani na Hadithi za
Mtume (S.A.W) tu.
7. Kijitabu hichi kinachambua hadhi ya manabii na
heshima zao.
8. Kina maelezo mafupi kuhusu Nabii Ibrahim, Musa, na
Issa (A.S).
9. Kina matukio muhimusana ya Sira yake Mtume
(S.A.W).
6
10. Kina muhtasari wa sifa za Mtume (S.A.W), tabia zake
njema, na dalili za unabii wake.
11. Kina maelezo ya kijumla kuhusu nguzo za Uislamu,
misingi yake, na sheria zake.
12. Kina zaidi ya Aya300 za Qur‘ani na zaidi ya
Hadithi1100 za Mtume (S.A.W) .
13. Kina zaidi ya anuani 500.
14. Kina ufafanuzi wa maneno magumu, maeneo, na
makabila ambayo ni zaidi ya 430.
15. Kina zaidi ya Wahusika (100), na zaidi ya maeneo, na
makabila (200).
16. Kimeandaliwa katika mpangilio wa utaratibu wa
matukio kadiri iwezekanavyo.
17. Kimeandikwa kwa mtindo mwanana wa kifasihi, usio
wa kurefusha au kurudiarudia.
18. Kimeandikwa kwa kufuata kanuni za uandishi
unaokubalika.
19. Kimesomwa, kimepitiwa na kuhaririwa na zaidi ya
wanazuoni,maulamaana nawatafiti 30 waliobobea katika
nyanja hii.
20. Kimefasiriwa kwa zaidi ya lugha 25
Show More

What's New in the Latest Version 1.0

Last updated on Jul 28, 2017
Version History
1.0
Jul 28, 2017

Sira ya Mtume (ya kuisoma) Katika Dakika Chache FAQ

Click here to learn how to download Sira ya Mtume (ya kuisoma) Katika Dakika Chache in restricted country or region.
Check the following list to see the minimum requirements of Sira ya Mtume (ya kuisoma) Katika Dakika Chache.
iPhone
iPad
Sira ya Mtume (ya kuisoma) Katika Dakika Chache supports English

Sira ya Mtume (ya kuisoma) Katika Dakika Chache Alternative

You May Also Like

Get more from Nasir alzahrani